Taasisi Nunuzi Zitsanzo za Migwirizano

Taasisi Nunuzi itatathmini na kulinganisha zabuni kwa namnaifuatayo:
Taasisi Nunuzi itatoa mkataba kwa Mtoa Huduma ambaye kotesheniyake imeamuliwa kuwa inafaa na ambaye ametoa kotesheni ya bei iliyotathminiwa na kuwa ya chini kabisa.
Taasisi Nunuzi inahodhi haki wakati wote wa mkataba, kuongeza au kupunguza hadi asilimia 15 ya idadi ya huduma ambazo zilibainishwa hapo awali katika ukubwa wa huduma kwa kila idadi bila mabadiliko yoyote ya bei ya kizio kimoja au masharti mengine, na hii itaonyeshwa kwenye fomu ya mkataba