WATENDAJI WA CHAMA Sashin Shaidar

WATENDAJI WA CHAMA. Chama kitakuwa na watendaji waajiriwa kama itakavyoainishwa kwenye Kanuni ya watumishi ya Chama wakiwemo Meneja na Mhasibu.