UTATUZI WA MIGOGORO Sashin Shaidar

UTATUZI WA MIGOGORO. Migogoro yoyote kuhusu tafsiri ya Masharti haya kati ya wanachama na Chama au uongozi wa Chama au watu wengine ipelekwe kwa Mrajis wa vyama vya Ushirika kwa uamuzi.