Usambazaji wa Taarifa Sashin Shaidar

Usambazaji wa Taarifa. Kila mwajiri atatakiwa kuhakikisha kuwa taarifa za kupima utendaji kazi wa kila mtumishi zinaandaliwa kikamilifu na nakala moja ya taarifa inawekwa katika jalada binafsi la mtumishi anayepimwa utendaji kazi wake. Nakala nyingine atapewa mtumishi anayepimwa na nyingine kusambazwa kwa utaratibu ufuatao: