UIDHISHAJI NA UWEKAJI SAINI KUMBUKUMBU ZA CHAMA Sashin Shaidar

UIDHISHAJI NA UWEKAJI SAINI KUMBUKUMBU ZA CHAMA. Kumbukumbu zote za kudumu na mikataba ya chama itasainiwa na Mwenyekiti au Makamu Mwenyekiti kama wote hawapo Meneja na Mjumbe mmoja wa Bodi watatia saini.