UDHAMINI Sashin Shaidar

UDHAMINI. Ajira ya watendaji wa chama itabidi iende sambasamba na udhamini angalau wa watu wawili na maadili ya uongozi yazingatiwe ikiwa ni kwa mujibu wa maadili ya Viongozi ‘‘code of conduct“. SEHEMU YA KUMI NA MBILI.