SEHEMU YA ULEMAVU Sashin Shaidar

SEHEMU YA ULEMAVU. NAHUDUMAMATARAJIO1Kutoa ushauri nasaha kwa walemavuSiku zote za kazi.2Kuwawezesha wazee kwa kuwajengea uwezo kwa kuwapatia fedha, vifaa vya kujimudu, makazi nahuduma katika makazi.Miezi 6 ya kazi.3Kuwaunganisha wenye ulemavu na familia zao.Miezi 3 ya kazi.4Kuratibu shughuli za vyama vya watu wenye ulemavu.Siku zote za kazi.5Kusikiliza matatizo ya wateja wanaokuja ofisini.Siku zote za kazi.6Kupata taarifa za mteja kuhusu tatizo lake.Miezi 3 ya kazi.7Kuwahudumia wazee.Siku 7 za kazi.8Kuwasiliana na wazee kwa ajili ya kupewa fedha.Siku 2 za kazi.9Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za mteja aliyeomba fedha katika kitengo.Siku 2 za kazi na mara mbili kwa mwezi.10Kutoa ushauri nasaha kwa wazee.Siku zote za kazi.11Kuhakikisha wazee wanapewa matibabu bure kwa kuwasiliana na hosptali husika.Siku 14 za kazi.12Kusimamia sheria na sera zinazozungumzia wazee.Siku zote za kazi.13Kupokea taarifa za walemavu.Miezi 3 ya kazi.14Kuchunguza taarifa za walemavu.Miezi 3 ya kazi.15Kuwaombea walemavu mafunzo katika vyuo mbalimbali.Miezi 3 ya kazi.16Kufuatilia mafunzo ya walemavu vyuoni.Kipindi chote cha mafunzo.17Kuwatafutia makazi walemavuMiezi 3 ya kazi.18Kupeleka mahakamani mashauri yaliyoshindikana.Siku 1 ya kazi.