SEHEMU YA KUASILI WATOTO Sashin Shaidar

SEHEMU YA KUASILI WATOTO. NAHUDUMAMATARAJIO1Kupokea na kuchunguza maombi ya kusaili watoto.Miezi 6 ya kazi.2Kuwasiliana na taasisi mbalimbali ili kupata taarifa za muombaji na mtoto.Miezi 6 ya kazi.3Kutayarisha taarifa za muombaji na mtoto na kuziwakilisha mahakama kuu.Siku 1 ya kazi.4Kutoa msaada wa raisi kwa watoto waliozaliwa mapacha zaidi ya wawili.Siku 30 za kazi.5Kuratibu na kutoa huduma kwa watoto wanaoishi mazingira hatarishi.Siku zote za kazi.6Kutoa misaada ya dharura kwa watu wenye shida.Ndani ya siku 30 za kazi msaada utakuwa umeshatoka.