SEHEMU YA KITUO CHA KULELEA WATOTO Sashin Shaidar

SEHEMU YA KITUO CHA KULELEA WATOTO. NAHUDUMAMATARAJIO1Kukagua jengo na eneo la kituo kipya cha kulelea watoto.Siku 14 za kazi.2Kuwasilisha taarifa za kituo cha kulelea watoto kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 1 ya kazi.3Kuwasilisha maombi ya kufungua kituo cha kulelea watoto kwa Mkurugenzi Mtendaji (W).Siku 30 za kazi baada ya kpokea maombi.4Kutoa taarifa kwa mteja kuhusu kukataliwa au kukubaliwa kuanzishwa kituo cha kulelea watoto.Siku 7 za kazi.5Kukagua kituo cha kulelea`watoto kinavyotoa huduma.Siku 1 ya kazi kila baada ya miezi 3.