SEHEMU YA FAMILIA NA WATOTO Sashin Shaidar

SEHEMU YA FAMILIA NA WATOTO. NAHUDUMAMATARAJIO1Kutatua mashauri ya mkinzano.Siku 7 za kazi.2Kuandika taarifa ya familia.Siku 7 ya kazi.3Kufanya uchunguzi kuhusu mkinzano.Miezi 2 ya kazi.4Kutoa ushauri nasaha kwa familia na watoto.Siku 7 za kazi.5Kuwasilisha taarifa ya uchunguzi wa mkinzano wa ndoa katika baraza la ndoa.Siku 7 za kazi.6Kufuatilia makubaliano ya wanandoa.Siku zote za kazi.7Kuhakikisha watoto wanapewa haki zao.Siku zote za kazi.8Kuwakutanisha wazazi na watoto kupata taarifa zao.Siku 14 za kazi.9Kufanya uchunguzi na majadiliano katika familia.Siku 30 za kazi.10Kupokea maombi ya kufungua makao ya watoto na kukagua eneo, jengo, watumishi na vifaa.Siku 14 za kazi.11Kutayarisha taarifa za wanaoomba kuanzisha makao ya watoto na kuziwakilisha kwa Mkurugenzi wa Halmashauri.Siku 14 za kazi.12Kuwafahamisha wanaoomba kuanzisha makao ya watoto kukubaliwa au kukataliwa.Siku 7 za kazi.13Kufanya ukaguzi na usimamizi wa makao ya watoto.Siku 1 ya kazi kila baada ya miezi 3.14Kupokea na kufanya uchunguzi kuhusu maombi ya malezi ya kambo.Siku 90 za kazi.15Kutayarisha taarifa za maombi na kupeleka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 14 za kazi.16Kumtaarifu muombaji wa malezi ya kambo kukubaliwa au kukataliwa.Siku 7 za kazi.17Kufuatilia matunzo na makuzi katika malezi ya kambo.Kila siku ya kazi