MIKUTANO MIKUU YA KAWAIDA Sashin Shaidar

MIKUTANO MIKUU YA KAWAIDA. Kutakuwa na mikutano mikuu ya kawaida ambayo itafanyika wakati wowote katika mwaka,mkutano mmojawapo ni lazima ufanyika miezi miwili kabla ya mwaka wa fedha wa Chama kumalizika. Mambo yafuatayo yatajadiliwa katika Mkutano Mkuu wa kawaida:-