MHASIBU/MWEKA HAZINA WA CHAMA Sashin Shaidar

MHASIBU/MWEKA HAZINA WA CHAMA. Chama kitalazimika kuwa na Mhasibu wa kuajiriwa/Mwekahazina wa kuteuliwa mapema iwezekanavyo mara baada ya kuandikishwa chama. Katika utendaji wa kazi zake Mhasibu/Mwekahazina atakuwa hana budi kufuata kanuni zote za fedha (financial regulations) za chama na kuzingatia taratibu zote za kitaaluma ya Uhasibu katika utunzaji na uandishi wa vitabu vya hesabu na kumbukumbu zote za fedha za chama pamoja na utoaji wa taarifa za fedha hata na uhamisho wa miamala ya Hesabu.KAZI ZA MHASIBU ZITAKUWA ZIFUATAZO