KITENGO CHA UPIMAJI ARDHI NA RAMANI Sashin Shaidar

KITENGO CHA UPIMAJI ARDHI NA RAMANI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kupima ardhi kwa ajili ya ujenzi.Siku 3 za kazi.2Kupima mipaka ya mitaa ya kitalu.Siku 30 za kazi kwa kitalu.3Kufanya upimaji kwa ajili ya ramani za kihandisi.Siku 2 za kazi kwa kilomita 1.4Kuchora ramani ndogo za hati.Siku 1 ya kazi.5Kuweka alama za msingi za upimaji.Siku 14 za kazi.6Kutoa ushauri kwa wananchi juu ya upimaji na faida za upimaji.Siku 1 ya kazi.7Kukagua eneo linalotakiwa kupimwa.Siku 1 ya kazi.8Kuandaa gharama za upimaji.Siku 1 ya kazi.9Kupima kiwanja.Siku 3 za kazi.10Kutengeneza faili lenye hesabu zote za upimaji.Siku 7 za kazi.11Kuchora ramani ya kiwanja.Siku 1 ya kazi.12Kukagua faili kabla ya kulipeleka Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya usajili.Siku 2 za kazi.