KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI Sashin Shaidar

KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kukagua na kutoa taarifa ya mapato ya Halmahauri ili kuhakikisha taratibu za fedha zimefuatwa.Siku 1 ya kazi kila robo mwaka.2Kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Halmashauri kama taratibu zimefuatwa (Value for Money).Siku 1 ya kazi kwa kila mradi.3Kukagua mikataba ya wakandarasi kama taratibu za fedha na nyaraka zilizoambatanishwa zinakidhi kanuni na taratibu za fedha za serikali.Siku 2 za kazi.4Kukagua risiti za urejeshaji masurufu.Siku 1 ya kazi.