KITENGO CHA MITAMBO NA UMEME Sashin Shaidar

KITENGO CHA MITAMBO NA UMEME. NAHUDUMAMATARAJIO1Kukagua magari ya Halmashauri.Siku 1 ya kazi.2Kuthibitisha kama matengenezo ya gari yaliyopendekezwa yamefanywa.Siku 1 ya kazi3Kusimamia matengenezo ya taa za barabarani.Siku 1 ya kazi.4Kutoa vibali vya ujenzi wa majengo.Siku 60 za kazi.5Kukagua ujenzi wa majengo.Siku 1 ya kazi.6Kukagua hali ya barabara za Halmashuri.Kila siku ya kazi.7Kujenga barabara, madarasa, makaravati.Siku za kazi zilivyoandikwa katika mkataba.8Kufanya upembuzi yakinifu wa barabara, kuandaa michoro na kufanya makadirio.Siku 21 za kazi.9Kupeleka nyaraka za upembuzi Kitengo cha Manunuzi kwa ajili ya kutangaza zabuni.Dakika 5 za kazi.10Kukabidhi barabara inayotakiwa kujengwa kwa mkandarasi.Siku 1 ya kazi.11Kukagua barabara inayojengwa na mkandarasi.Kila siku ya kazi.12Kuandaa cheti cha malipo.Siku 3 za kazi.