KITENGO CHA MANUNUZI Sashin Shaidar

KITENGO CHA MANUNUZI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuomba kibali cha kununua bidhaa kutoka kwa maafisa wanaohusika kwa kujaza fomu.Dakika 5 za kazi.2Kujaza fomu za zinazoonyesha bidhaa zinazohitajiwa na kusainiwa na mkuu wa kitengo.Dakika 5 za kazi.3Kutangaza zabuni katika magazeti.Siku 2 za kazi.4Kuchagua wazabuni watakaotoa huduma katika halmashauri.Siku 60 za kazi.5Kumkabidh mzabuni nyaraka zinazoonyesha aina za bidhaa zinazohitajika.Siku 1 ya kazi.6Kupokea bidhaa zilizonunuliwa na mzabuni na kuweka stoo.Siku 1 ya kazi.7Kuwaatarifu wazabuni waonyeshe gharama za kutoa huduma.Siku 1 ya kazi.8Kufungua na kutangaza bei zilizotolewa na wazabuni.Masaa 2 ya kazi.9Kuteua wajumbe watakao tathmini maombi ya dhabuni na kumpata mshindi.Siku 40 za kazi.10Kumpatia barua na mkataba mzabuni aliyeshinda.Siku 14 za kazi.