KITENGO CHA MADAWA Sashin Shaidar

KITENGO CHA MADAWA. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuandaa mahitaji ya madawa ya hospitali, vituo vya afya na Zahanati za Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 14 za kazi kwa kila mwezi.2Kuzitunza, kurekodi aina zote za dawa na vifaa tiba vinavyopokelewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 7 za kazi.3Kusambaza makasha ya dawa kwenye vituo vya afya na zahanati zote.Siku 14 za kazi.4Kukagua matumizi sahihi ya madawa katika vituo vya afya, hospitali, na zahanati.Masaa 2 ya kazi kwa kila kituo.5Kuwasiliana na maafisa wa Bohari Kuu ya Madawa kwa ajili ya manunuzi.Siku 1 ya kazi.6Kutoa vibali vya kuuza madawa baridi.Siku 60 za kazi toka ombi kuwasilishwa.8Kuandaa taarifa za utekelezaji za kila robo mwaka.Siku 7 za kazi.