IDARA YA USAFI NA MAZINGIRA Sashin Shaidar

IDARA YA USAFI NA MAZINGIRA. NAHUDUMAMATARAJIO1Ukaguzi wa kiafya katika majengo ya kuishi.Siku 12Kukagua majengo ya biasharaSiku 5 za kazi.3Kukagua majengo ya taasisi.Siku 14Kukagua eneo la wazi.Dakika 60 za kazi5Kukagua makaburi.Siku 1 ya kazi.6Kukagua ubora na usalama wa vyakula katika mahoteli, maghala na maduka ya jumla.Siku 1 @ 10 au hoteli107Kusimamia sheria ndogo za kiafya kwa kuwachukulia hatua wanaokiuka.• Siku 1• Siku 3 za kazi8Kutoa elimu ya kiafya kwa wananchi kupitia matangazo.Dakika 15 za kazi kila siku.9Kufanya kampeni za usafi kila kata.Siku 1 ya kazi kila kata.10Kutoa elimu ya afya kwa waalimu wa afya wa mashuleni.Kila shule siku 2 za kazi.11Kupokea malalmiko ya wananchi kuhusu mazingira yao.Kila siku ya kazi.12Kukagua mazingira yanayolalamikiwa na wananchi.Siku 3 za kazi.13Kusambaza ilani ya usafi kwa vituo vya mafuta,wamiliki wa mabasi,Siku 714Kusimamia uzoaji taka katika maghuba yaliyotengwaSiku 715Kutoza faini ya papo kwa hapo kwa wanaochafua mazingiraSiku 116Kuhamasisha wanakikundi na vikundi vya jamii kuungana na kufanya kazi kwa ushirikianoSiku 3 kwa wiki