IDARA YA MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI Sashin Shaidar

IDARA YA MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuandaa bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya KisaraweSiku 90 za kazi.2Kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 7 za kazi.3Kukusanya takwimu kuhusu hali ya kiuchumi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 90 za kazi.4Kukusanya takwimu za mfumo wa ufuatiliaji na tahmni za serikali za mitaa.Siku 30 za kazi.5Kutoa ushauri kwa jamii kuhusu tafiti na takwimu.Siku 7 za kazi.6Kuchambua sera za kitaifa na kuzifikisha ngazi za chini.Siku 7 za kazi.7Kuratibu mafunzo ya uimarishaji mipango na ushirikishwaji jamii katika kupanga mipango ya maendeleo na utekelezaji wake.Siku 30 za kazi.8Kuandaa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kila robo mwaka.Siku 7 za kazi.9Kuratibu upimaji wa Halmashauri dhidi ya masharti ya kupata fedha za maendeleo.Siku 30 za kazi.10Uandaaji wa Taarifa mbalimbali kwa kila robo na mwaka nzimaSiku 24 za kazi11Kusimamia zoezi la ukusanyaji wa takwimu mbalimbali zikiwemo zile za wasifu wa kiuchumi na kijamii wa Halmashauri na takwimu za fursa za uwekezaji na kuziunganishaSiku 60 za kazi12Kufanya Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya matumizi ya HalmahauriSiku 60 za kazi14Maandalizi ya Mpango kazi (Action plan) kwa fedha zaSiku 60 za kazi miradi ya maendeleo na matumizi ya kawaida 15Kuandaa Maandiko ya miradi mbalimbali ya maendeleo kwa ajili ya kutafuta fedha kwa wadau mbalimbali wa maendeleoSiku 90 za kazi16Ukaguzi wa shughuli mbalimbali za miradi ya maendeleoSiku 120 za kazi17Kuandaa mipango mkakati za Idara mbalimbali za HalmashauriSiku 20 za kazi