IDARA YA ELIMU YA SEKONDARI Sashin Shaidar

IDARA YA ELIMU YA SEKONDARI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kutoa uhamisho wa wanafunzi kutoka shule moja kwenda shule nyingine.Siku 2 za kazi kwa wiki.2Kushughulikia barua za waalimu za maombi ya kwenda kusoma.Siku 1 ya kazi tangu ziwasilishwe idarani.3Kushughulikia maombi ya waalimu ya likizo.Siku moja ya kazi tangu kuwasilishwa idarani.4Kushughulikia maombi ya waalimu ya kuhamia shule nyingine.Siku 1 ya kazi tangu maombi kuletwa idarani.5Kushughulikia malipo ya shule za sekondari za serikaliSiki 16Kusimamia taaluma mashuleni.Siku 1 ya kazi kupitia vikao vya bodi ya shule.7Kushughulikia rufaa za nidhamu za wanafunzi na waalimu na kuandika taarifa.Siku 2 za kazi mara baada ya kuwasilishwa kwa kesi.8Kuandaa taarifa ya utekelezaji ya mwezi kwa ajili ya Halmashauri.Siku 2 za kazi.9Kuandaa taarifa ya utekelezaji ya robo mwaka.Siku 3 za kazi.10Kushughulikia majalada yanayoletwa idarani.Siku 2 za kazi