IDARA YA ELIMU YA MSINGI Sashin Shaidar

IDARA YA ELIMU YA MSINGI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kupata takwimu ya watoto wenye miaka mitano.Siku 14 za kazi.2Kufuatilia uandikishwaji wa watoto wanaostahili kupata elimu ya awali.Siku 14 za kazi.3Kuhakikisha waalimu wanatosholeza katika shule za elimu ya awali.Siku 14 za kazi.4Kukagua kama waalimu wa shule za elimu ya awali wanaingia darasani.Siku 14 za kazi na mara mbili kwa mwaka.5Kuhakikisha elimu bora inatolewa shule za msingi kwa kuhakikisha waalimu wenye taaluma wanatosheleza, zana za kufundishia zipo, na kuna vitabu vya ziada na kiada.Siku 30 za kazi kila baada ya miezi sita.6Kupata takwimu za watoto wenye miaka 5 hadi 7.Siku 7 za kazi.7Kuelimisha jamii kupitia kamati za shule za msingi ili kujua umuhimu wa elimu kwa watoto wao.Siku 1 ya kazi kila kamati za shule zinapokutana.8Kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya miradi ya maendeleo.Siku 1 ya kazi kila baada ya miezi mitatu.9Kutoa semina kwa waalimu wa shule za msingi kuhusu masomo wanayofundisha.Mara 2 kwa mwaka.10Kutembelea watendaji wa mitaa kupata takwimu ya watu wasiojua kusoma na kuandika.Siku 7 za kazi.11Kufuatilia uandikishwaji wa watu wazima kwa ajili ya elimu ya watu wazima.Siku 10 za kazi.12Kufuatilia kama waalimu wa elimu ya watu wazima wanatosheleza.Siku 14 za kazi.13Kuhakikisha kuna vifaa vya kufundishia katika elimu ya watu wazima.Siku 14 za kazi.